Kuumba tabia za watoto

Watoto hawakuzaliwa wakijua tabia gani zina kubaliwa na gani hazikubaliwi. Wanajifunza wakiona vile wewe na wengine ambao wanawakaribiana wanatendea na pia vile wao na wengine wanatendewa.

Wazazi wanataka watoto wao kukuwa watunzaji, waangalifu na kuwa na mrua mzuri. Mawazo juu ya malengo hii, yako tofauti na yana badilika na wakati.

Wazazi wako na tabia ya kulea watoto wao kwa jinsi ambazo zina fanana na vile walilewa. Ukitaka kubadilisha uzazi wako, utahitaji wakati, bidii na uazimaji. Jipatie ruhusa ya kufanya makosa.

Kuendesha nidhamu au kutia adhabu

Wazazi wengi leo wanasikia kama hawaruhusiwi kuwaendeshea watoto wao nidhamu.
Kila mtoto huhitaji nidhamu kusikia salama.
Neno "nidhamu" kwa kiingereza hutokea lugha ya kilatini "kufunza".
Kutia adhabu ni kurudi na nguvu na pia unalenga kuadhabisha tabia yasiokubalikwa. Ni nadra watoto kufunzwa kurekebisha tabia yao ambao yasiokubalikwa ukiwatia adhabu.
Lengo la kuendesha nidhamu ni kusaidia watoto kuchukua maamri ya tabia zao kwa kuwafundisha jinsi za kuitikia hali tofauti. Watoto wakiendelea kukuwa, watakua utiifu zaidi. Wataelewa vile wanatakikana kurekebisha mwendo wao. Mtoto anakuwa utiifu akipata utaalamu na ulezi bora ya wazima.
Adhabu huamania uhusiano nzuri kati ya wewe na mtoto yako na hujenga roho ya mtoto yako kukupendeza.
Adhabu huhusika na kuelewa mipango na pia matokeo ya kuacha kufuata mipango hii.

Je kuna maoni gani juu ya kupiga watoto?

Unaweza kuadhabisha mtoto vizuri bila kumpiga.
Kupiga mtoto unampatia chungu na ni hii chungu tu itamfanya aache tabia mbaya. Kwa mfano, kupiga mtoto na mkono au na kitu.
Kupiga mtoto haitangazi upendo au heshima kwa mtoto yako.
Kupiga mtoto unaweza kutekua vile mtoto huelewa mapenzi na usalaama wake. Mara nyingi mtoto anaweza kuhangaika, kuogopa na pia kuwa uhalifu.
Kupiga mtoto humfunza mabavu ni jinsi sawa ya kusululisha shida na matatizo.
Kumpiga mtoto haimfuzi kukuwa na adhabu. Inaweza kumfanya asiwe na adhabu tena na tena.
Mara nyingi watoto huhangaika na hukua na hasira nyingi baada ya kupigwa, hata wanasahau wanapigwa kwa ajili ya nini.

Watoto hujifunza wakiona matendo yako. Ongea na watoto vile unataka wakuongeleshe. Tendea tu vile unawataka kutenda.

Kusikiliza
Kuumba tabia za watoto
Update Required To play the media you will need to either update your browser to a recent version, enable javascript or update your Flash plugin.