Kila mtoto ni muhimu

Kitabu hiki kina chunguza mada mengi kuhusu watoto na kukua mzazi. Zaidi ya hii, kitabu hiki kina kupatia fursa ya kufikiria juu ya watoto, uzazi na vile unaweza kupatia watoto ujuzi ule unawataka kupokea vile wanakua wakubwa.

Kitabu hiki kitakusaidia kujibu maswali yafuatayo.

  • Kua mtoto unamaanisha nini?
  • Tuna taraji nini kutoka watoto? Je, kile tunataraji ni kingi sana?
  • Tunataka watoto kupata maarifa gani kutoka hali yao ya utoto?
  • Je, unataka watoto kujua watu wazima aje maishani yao?
  • Je, ninataka watoto kunijua aje?
  • Tunapatia watoto masomo gani juu ya umuhimu yao kwa maisha yetu na kwa jamuiya yetu?

Kumbuka: Sisi watu wazima, tunaumba jamuiya yetu kwa thamani na vikao vile ambavyo tunasaidia na kupatia ruhusa. Ujuzi ule tunawapatia watoto wetu utakaa nao kwa milele.

Kusikiliza
Kila mtoto ni muhimu
Update Required To play the media you will need to either update your browser to a recent version, enable javascript or update your Flash plugin.